Kisalas

Kisalas ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasalas kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kisalas imehesabiwa kuwa watu 50 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisalas iko katika kundi la Kimaluku.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search